Saturday, March 6, 2010

Habari zilizoifikia blog ya inawezekana punde !!
Ni kuwa pale kwa kakobe kanisani wale waliokuwa wakilinda mguzo kuwekwa wameshatolewa na muda mfupi ujao uwekaji wa nguzo utaendelea kama kawaida na hizi ni habari ambazo tumezipata punde subiri habari zaidi.

No comments: