Friday, March 19, 2010

MATOKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA KATIKA VYUO VYA UFUNDI.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mhe. Prof. Jumanne Maghembe katikati akitangaza matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi wa kuingia kidato cha tano (5) na katika Vyuo vya Ufundi Mwaka 2010 kwa Waandishi wa Habari ambao hawapo pichani. Kulia ni Mratibu Msaidizi wa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) Bw. Alpius Machage na Shoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Elimu ya Sekondari Bw. Charles Philemon. Shughuli hii ilifanyika kwenye Ukumbi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi leo jijini Dar es Salaam.

No comments: