Wednesday, March 17, 2010

Mwaka 2007 nilipita uwanja wa ndege wa Arusha - Arusha Airport, hali ya uwanja ni kama inavyoonekana ktk taswira ya juu. ki ukweli, hali haikuwa nzuri ilivyo sasa hivi (picha 2 za chini).

hivi ndivyo hali ilivyokuwa December 2009, maboresho yanajionyesha wazi bila kificho. parking ya ndege nayo ipo safi na hata baadhi ya majengo ya wageni yalikuwa yameboroshwa kwa kiasi kizuri. Pongezi kwa wahusika kwa kuoberesha uwanja huu ambao ni nyenzo muhimu kwa utalii ukanda wa kaskazini.

Runway ina lami mwanzo hadi mwisho huku ikiwa imewekewa alama husika (michoro ktk lami).

No comments: