Hivi unajisikiaje unaenda kwenye sherehe halafu umefika wakati wa msosi, upo kwenye foleni(queque) ya kwenda kuchukua msosi mara unaambiwa CHAKULA KÄ°MEÄ°SHA!!!!!!!How do u feel?

Sasa angalia picha hiyo inajielezea BEHÄ°ND the scene….wahudumu wamejificha chini ya meza wakipata menu Ä°nstead of kuwasevia watu misosi, sina cha kuelezea zaidi!


du hii nimeipata kwa site www.angaliabongo.co.tz