Thursday, August 7, 2008

Tanzania Yapepea
Olimpiki...
Wadau kumekucha Olimpiki 2008.Pichani ni Bendera yetu ya Taifa ikipandishwa katika kijiji cha Olimpiki mjini Beijing jana kabla ya uzinduzi wa mashindano hayo ijumaa hii.

No comments: