Mtuhumiwa...
Mpiga Picha Maalum wa ThisDay anaripoti kuwa Polisi Kanzu wa jijini Dar es Salaam wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja wa makosa mbalimbali ya ujambazi barabara ya Uhuru Road na Kariakoo na kufanikiwa kumfikisha chini ya Ulinzi Mkali kituo cha Polisi Msimbazi.
No comments:
Post a Comment