Makamu wa Rais wa Afrika Kusini
akutana na Dr Shein.

Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein(Kulia)akisalimiana Makamu wa Rais wa Afrika Kusini Bi Phumzile Mlambo Ngcuka walipokutana uwanja wa Ndege nchini mexico ambapo wote waliudhuria kongamano la Kimataifa juu ya Ugonjwa wa Ukimwi nchini humo Makamu
wa Rais Dr Shein amemaliza Ziara yake nchini humo na Kuelekea nchini Cuba kwa
ziara nyingine ya kiserikali Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mwanamwema Shein.
No comments:
Post a Comment