Friday, August 8, 2008

Mkutano wa Sera Za
Maendeleo..
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda(Kushoto)akizungumza na Profesa Haroub Othman wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Sera za Maendeleo(First International Vonference on Devlopment Policy)kwenye hoteli ya Movenpic Royal Palm jijini Dar es salaam.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: