Mjue Rubani Mwenye Umri
Mdogo Bongo Specioza
Rweyemamu...

Rubani Specioza rweyemamu akiwa ndani ya Cockpit.

Pichani ni rubani Specioza Rweyemamu wa shirika la Precision Air la Dar es Salaam,ana umri wa miaka 24,kwa sasa anaendesha ndege aina ya ATR 42 zenye uwezo wa kubeba abiria 47,na ATR 72 zenye uwezo wa kubeba abiria 70.ambaye jana amefanya mahojiano Maalum na Gazeti la
Habari Leo kwenye Ofisi za magazeti hilo jijini Dar es Salaam.Muda mfupi kabla ya kurudi uwanja wa Ndege wa Mw Julius Nyerere Tayari kabisa kupaisha pipa kuelekea Nairobi.Kwa Mengi zaidi kuhusu Rubani Speciaoza Rweyemamu usikose kusoma gazeti la
Habari LEO Jumapili Agosti 10.
No comments:
Post a Comment