Wednesday, August 13, 2008

MAYALA MOI
Mwandishi wa habari na Mtangazaji Pascal Mayala akiwa wodini alikolazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Muhimbili kitengengo cha mifupa MOI kufuatia ajali ya pikipiki aliyoipata hivi karibubuni. Mayala anaendelea vyema.

No comments: