Happy Birth Day

Waandishi wa habari wa HabariLeo na Dailynews jana wakimpongeza mfanyakazi mwenzao Mgaya Kingoba 'KING' kwa kuadhimisha tarehe yake ya kuzaliwa. Agosti 12 ilikuwa siku ya kuzaliwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Mwantumu Mahiza. Blog hii inawatakia maisha marefu yaliyosheheni busara,amani,upendo na utulivu. Kubwa zaidi wamkumbuke Mola wao.
No comments:
Post a Comment