Tuesday, August 5, 2008

fc bongo yanyakua ubingwa helsinki
nahodha wa fc bongo na kombe la ubingwa. cheki chata yetu inavyong'ara
abdallah 'scorali' ezza akiwa na kombe la kuibuka kocha bora wa mashindano. habari zinasema kilimanjaro fc wanamzengea apeleke 'uchawi' wake huko. jamaa nasikia anastkuti maana dau walilopanda jamaa si mchezo. uongozi wa fc bongo haukupatikana kutoa kauli juu ya hili
mchezaji bora wa michuano hiyo, kevin na kocha bora scorali wakiwa na makombe yao
fc bongo kabla ya kuingia uwanjani

kushinda kutamu jamani....
fc bongo oyeeeeee


kocha abdalla 'scorali' ezza (kijani) akiwa na vijana wake shupavu wa fc bongo baada ya kushinda
Juzi FC BONGO ya Helsinki imefanikiwa kushinda kombe la HELSINKI PREVENTION CUP Baada ya kuibamiza Nigeria 2-1 na kumaliza mashindano hayo kwa kushinda mechi zote saba walizocheza.

Magoli yote ya leo ya FC BONGO yalifungwa na DUDU.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI FC BONGO
MUNGU MBARIKI KOCHA ABDALLAH 'SCORALI' EZZA
MUNGU TUBARIKI WATANZANIA WOOTE KWA JUMLA

FC BONGO OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

No comments: