Captain Mazulla Azikwa
Leo..

Mke wa Marehemu Capten Mazula akiweka mchanga kwenye Kaburi la Mumewe Mzee Mazulla aliyefariki wiki iliyopita na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam kwenye Makaburi ya kinondoni.Kulia ni Mwanae wa Kiume George Mazulla Jr.bofya
Hapa kwa Video Latest za Mazishi Hayo kwa hisani kubwa ya
Michuzi
No comments:
Post a Comment