Bomoa Bomoa kwa Wakazi
wa Kurasini Zam
Cargo...


Wakazi wa Kurasini Zam Cargo jana wamebomolewa nyumba zao kupisha upanuzi wa bandari. Tukio hili la ghafla lilifanyika chini ya ulinzi mkali wa Polisi.Wananchi hawa waligoma kuhama maeneo haya wakilalamikia fidia ndogo waliyopewa.Picha na Mdau
Yusuf Badi/TSN
No comments:
Post a Comment