MAKALA YA LEO...
*Faida na hasara za makundi ndani ya jumuiya
ya UVCCM.
*Faida na hasara za makundi ndani ya jumuiya
ya UVCCM.
Katibu Mkuu wa CCM,Yusuf Makamba
---
Na Magnus Mahenge.
Chama cha Mapinduzi(CCM)kitendo cha kutia mkono na kuyapanga makundi ya wagombea uenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama hicho,huko ndiko kuonyesha njia kunakofanywa na Chama cha mapinduzi(CCM)?
Turudi kwenye msahafu wa chama:Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2005 hadi 2010 inaonyesha kuwa CCM itaongoza na itaonyesha njia.Kupanga wagombea huko ndiko kuonyesha njia?
Maneno hayo nimeyachukulia kama yalivyo kwenye hotuba iliyotolewa na Rais wa awamu ya tatu,Benjamin Mkapa,wakati akivunja Bunge,Julai 29,2005,mjini Dodoma,alisema na hapa nanukuu:“Kuongoza ni kuonyesha njia,ni kuwa mfano bora,ni kufanya wananchi waridhike kukuona uko mbele na wao wanafuata.Wanakufuata si kwa sababu wanakuogopa,kwa sababu wanakuamini.“Na imani ya kweli,haipatikani kwa kauli tu,bali hasa kwa vitendo vyako,mwelekeo wako na kwa kuwajali wananchi.” Bofya na Endelea...>>>>>
No comments:
Post a Comment