Mwana FA Unaoa Lini...?

kwa wadau wa ughaibuni napenda kuwadunga na songi matata kabisa kutoka kwa mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya/Bongo Fleva Mwana Fa kinachokwenda kwa jina la Bado Nipo Nipo ambacho kinawika na kutamba karibu kila kona Hivi sasa.Bofya player Hapo chini Ule Ngoma
No comments:
Post a Comment