Tuesday, August 12, 2008

Kulikoni?Askari Wa Iraq Na
Bendera Ya TZ!

Bro,
Natumaini hamjambo katika shughuli zenu za kila siku,
hebu jaribuni kutafuta ukweli kutoka kwenye hiyo link hapo chini.
Askari wa Iraq kavaa gwanda lenye bendera ya bongo? hii imekaaje?
naomba jina na email zangu kapuni zote tafathali...
Bofya Hapa Uone Ukweli wa Mambo

No comments: