Zao la Mbaazi...

Waziri Kiongozi wa SMZ,Shamsi Vuai Nahodha,akimuuliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uzalishaji wa mbegu bora ya Tanseed International,Isaka Mashauri,juu ya matumizi ya zao la Mbaazi ambalo lilionekana kuzaa kwa wingi.Mbaazi hizo hutumia muda mfupi tangu kupandwa hadi kuzaa na huzaa kwa wingi.Picha na Mdau John Nditi/Morogoro
No comments:
Post a Comment