Friday, August 1, 2008

Ushauri wa Bure Kwa
Mamlaka Husika
Mamboz mkuu,
Hii ni barabara ya Morogoro Road ambayo imepita hi mitaa ya Kimara Temboni kama ionekavyo kwenye picha hizi.Sehemu imekuwa zikitokea ajali za hapa na pale ikiwa ni pamoja na kugongwa watu na n.k,ushauri wangu kwa Mamlaka husika,ingekuwa bora zaidi kama eneo hili lingewekewa zile alama za zebra kwa ajiri ya watu kuvuka na pia Matuta ili kwamba Madereva wa magari wapunguzwe mwendo kasi wa magari yao katika eneo hili kwani imekuwa ni hatari sana kuvuka barabara hii.
shukrani sana!

No comments: