Ras Nas aka Nasibu Mwanukuzi
awasha Moto Wa
Kiutu-Uzima..!
Hi,Mwanaharakati, msanii na mwanamuziki wa ki-Tanzania, Ras Nas au Nasibu Mwanukuzi amewasha moto wa kiutu-uzima kwenye fani ya muziki Norway kwa kuwa msanii mwa-Africa wa kwanza nchini humo kupata nyota tano kwenye marudio ya albamu yake“Dar-es-Salaam” toka gazeti kubwa la Dagsavisen.Hii inadhibitisha kwamba wabongo nao tupo!
Soma zaidi kwenye blog ya Watanzania Oslo Hapa
Ukitaka kuangalia shoo live ya Ras Nas unaweza kubonyeza Youtube:
http://www.youtube.com/user/rasnas55
(hapa kuna video tatu: 1.River Nile
2. Dar-es-Salaam na
No comments:
Post a Comment