Ombi...

Kuna Mdau ameniomba nitunduke picha hii ya Miss Tanzania 1999 Hoyce Temu bloguni na kuomba msaada kwa wadau kama kuna mdau anayejua Mrembo Hoyce anafanya nini kwa sasa na Yupo wapi kwa amjulishe kupitia Ukurasa huu sehemu ya Maoni..Naomba Kuwasilisha.
No comments:
Post a Comment