Ndugu wa Chacha Wangwe
Wagoma Mwili wa Ndugu Yao
Kuzikwa..
(Chadema)..
kwenye mazishi ya mbunge wao Chacha wangwe wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali.Picha na Jacob Mugini /Michu
-----------
NDUGU wa aliyekuwa Mbunge wa Tarime kwa tiketi Chadema wamegoma mwili wa ndugu yao kuzikwa ili kuruhu uchunguzi wa kifo chake ufanyike kutokana na hisia za wanafamilia kwamba alipigwa risasi hakufa kwa ajali ya gari kama ilivyotangazwa na vyombo vya usalama na ofisi ya Bunge.

Msemaji wa familia hiyo, Prof. Samuel Wangwe alisema kuwa kutokana na kifo hicho kuwa na mashaka mengi familia imeamua kufanya uchunguzi wa kina ili ijiridhishe na sababu za kifo cha mbunge huyo.
Akizungumza katika hadhira iliyokusanyika nyumbani kijijini Kemakorere,alisema familia imepata mashaka makubwa kutokana na mambo mengi na hasa sababu za kifo ambazo zimedaiwa kuwa ni ajali.Bofya na Endelea.....>>>>
No comments:
Post a Comment