Thursday, August 14, 2008

Mambo ya Flaviana Matata
Sauzi..

es.

Picha mwanana za Miss Universe Tanzania 2007 Flavian Matata akiwa nchini South Afrika ambapo ameula na kusaini mkataba wa Mwaka Mmoja na Kampuni ya kubwa ya mitindo ya Ice Model Agency,pamoja na mambo mengine Flavian Matata anatarajia kutua mapema mwezi huu nchini Tokyo Japan chini ya Mwaliko wa kampuni ya Wilna International Limited ya Japan ambapo atajaribu zali na kampuni kubwa ya mambo ya Ulimbwende nchini humo ya Jon

No comments: