Friday, August 15, 2008

Kampeni ya Minyoo,Surua
na Polio..
Mama Salma Kikwete akisalimia wadau mbalimbali katika mkutano wa kuhamasisha kampeni ya Polio,utoaji dawa za minyoo na surua.Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Wilson Mukama na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Kinga,Dr Donald Mmbando

No comments: