Saturday, August 2, 2008

Jua Linazama Saa Tatu Usiku!
Katika majira ya kiangazi jua huchelewa kuzama kwenye nchi za Scandinavia. Pichani ni saa tatu usiku na jua ndio linazama!

No comments: