Monday, August 4, 2008

Hafla ya kuzaliwa Rasmi
Zain ...
Baadhi ya wasanii wa kikundi cha sanaa za maonyesho cha Umoja kutoka Afrika Kusini, wakicheza wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments: