Gavana Mkuu..
Pichani ni Gavana Mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndulu aliyeteuliwa na Rais Jakaya Kikwete January 09,2008 kuchukua wadhifa huo.Badala ya aliyekuwa Gavana wa kipindi hicho ambaye kwa sasa ni Marehemu Daudi Balali kutenguliwa mkataba wake na Rais.Je wewe kama Mdau una Maoni /Ushauri kwa gavana Prof Ndulu.
No comments:
Post a Comment