Tuesday, August 12, 2008

Tunga Caption ya Picha
hii...
Rais George Bush wa Marekani ana vituko kweli pichani akitazama sijui nini Mchezaji wa Mpira wa Wavu wa timu ya marekani Misty May inayoshiriki mashindano ya Olimpiki Mjini Beijaing nchini China.Kulia ni Kerri Walsh.

No comments: