Tuesday, August 12, 2008

Tatizo la Maji Dar ni
Sugu..
Wananchi wa Mtoni Mtongani wamejitafutia njia mdabala ya kupata maji safi baada ya Mamlaka husika kushindwa kufanya hivyo.Tatizo la maji safi na maji taka ni kubwa sana Jijini Dar es Salaam na hakuna hatua madhubuti zinazochukuliwa kuondoa au kupunguza tatizo hili.Picha na Mdau Bernard Rwebangira

No comments: