Mdau agongana na Rais  
 Kikwete  kwenye game la Kikapu  
 Washington  DC...
  
 Mdau Dotto Mallongo(Kushoto)wa washington,D.c alipata bahati  ijumaa ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete kwenye game ya basketball ya  wanawake(wnba)kati ya washington mystics(75) vs chicago sky(79).ambayo  ilifanyikia kwenye uwanja wa verizon center Downtown Dc.muda mfupi baada ya Rais  Jakaya Kikwete kumaliza ziara yake nchini Marekani ya siku tatu chini ya Mwaliko  wa Rais George Bush.
   
 
1 comment:
dooujiin89c
golden goose outlet
supreme outlet
supreme outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
golden goose outlet
Post a Comment