fc bongo yanyakua ubingwa helsinki
abdallah 'scorali' ezza akiwa na kombe la kuibuka kocha bora wa mashindano. habari zinasema kilimanjaro fc wanamzengea apeleke 'uchawi' wake huko. jamaa nasikia anastkuti maana dau walilopanda jamaa si mchezo. uongozi wa fc bongo haukupatikana kutoa kauli juu ya hili
mchezaji bora wa michuano hiyo, kevin na kocha bora scorali wakiwa na makombe yao
fc bongo kabla ya kuingia uwanjani
kushinda kutamu jamani....
kocha abdalla 'scorali' ezza (kijani) akiwa na vijana wake shupavu wa fc bongo baada ya kushindaJuzi FC BONGO ya Helsinki imefanikiwa kushinda kombe la HELSINKI PREVENTION CUP Baada ya kuibamiza Nigeria 2-1 na kumaliza mashindano hayo kwa kushinda mechi zote saba walizocheza.
Magoli yote ya leo ya FC BONGO yalifungwa na DUDU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI FC BONGO
MUNGU MBARIKI KOCHA ABDALLAH 'SCORALI' EZZA
MUNGU TUBARIKI WATANZANIA WOOTE KWA JUMLA
FC BONGO OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
Magoli yote ya leo ya FC BONGO yalifungwa na DUDU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI FC BONGO
MUNGU MBARIKI KOCHA ABDALLAH 'SCORALI' EZZA
MUNGU TUBARIKI WATANZANIA WOOTE KWA JUMLA
FC BONGO OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
No comments:
Post a Comment