Bondia Cheka kuzichapa
Uingereza...
Mpaka hivi sasa Bw.Cheka ameshapigana mapambano 26 kati ya hayo amepoteza 5 ametoka sare 1 ameshinda 15 kwa knockout na mapambano 5 ameshinda kwa point.Bw.Cheka amezaliwa Tanga tarehe 15 mwezi wa 4 mwaka 1982,amepata elimu yake ya msingi Kinondoni,jijini Dar Es Salaam.Bw.Cheka alianza kupigana ngumi za ridhaa mwaka 1999 na mwaka 2001 alianza kupigana ngumi za kulipwa.
No comments:
Post a Comment