Wazamiaji...
-----------
Mtazamo wangu: Tumekuwa tukiimba kuhusu kuleta maisha baora kwa kila mwananchi. Je, ni nini nafasi ya vijana katika kuleta maendeleo? Wanashirikishwaje? wanawezeshwa vipi? Je, tuna mikakati thabiti inayowalenga vijana kujitengenezea maisha bora? Wenye kujua watueleze.Picha ya Mdau Bernard Rwebangira
No comments:
Post a Comment