Picha ya Chini: Imma Mbughuni akimfariji Rehure Nyaulawa baada ya msiba wa baba yake, Richard Nyaulawa ambaye ni Mbunge wa Mbeya Vijijini aliyefariki dunia usiku wakuamkia jumapili . Wazazi wa Imma na Rehure, Richard na Rashid Mbughuni ndio waanzilishi wa kampuni ya magazeti ya Business Times. Wengi tumaingilia kwenye fani kupitia kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment