Thursday, November 13, 2008

Hali Halisi...
jamani hii ni hali halisi livyokuwa ikionekana baada ya kunyesha mvua jijini Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo la mto kizinga maji yalivunja daraja na watu wa huku kusafiri kwa shida kubwa wengi walikuwa wakibebwa na wengine kujitahidi kuogelea maji mafupi.Picha ya mdau Venance Nestory wa Mwananchi.

No comments: