Thursday, November 20, 2008

JUMA NATURE KORTINI



Msanii wa Bongo Flavour, Sir Nature jana alitinga kortini kukabili mashtaka ya kubaka mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye miaka 16! Hapa akitolewa mahakamani baada ya kupata dhamana! Wapi tunakwenda maana kwa sasa inabidi tuende kupata burudani jela kila mmoja anaenda huko!

No comments: