Friday, November 14, 2008

KISAGO UDSM



Yaani wanafunzi wote wanadai haki ya mikopo lakini walipeana kichapo kichizi wenyewe kwa wenyewe, sijui kama Waziri wa Elimu angejitokeza mwenyewe wangemfanyeje? Mungu wangu sijui wapi tunakwenda.

No comments: