Monday, November 24, 2008

ushawahi kusachiwa una kibomu?


Ushawahi kusachiwa kibomu kabla ya kuingia chumba cha mtihani wewe ?, hivi kwa mfano kwa wale waliowahi kuingia nacho matumizi yake yanakuwaje wakati msimamizi wa mitihani anakuwa anapita pita saaana karibu yako,joto la mwili linakuwaje ? (hii ni kwa wale waliowahi fanikiwa kuingia na kobomu chumba cha mtihani tu).

No comments: