Thursday, November 13, 2008

ajali karibu na bandarini dar Jana
Baadhi ya wananchi wa eneo la bandari Kurasini jijini Dar es Salaam kama walivyokutwa na mpiga picha wakiliangalia lori namba T. 410 ADR lenye tela no. T. 875 AKX likiwa limeanguka chini ya daraja lilipo karibu na lango kuu la kuingilia Bandarini. Ajali hiyo ambayo inasemekana kuwa haikuleta madhara kwa dereva na utingo wake ilitokea jana asubuhi