Kadidi nilikua safarini kidogo mitaa ya Peramiho nikaona nikupatie hii zawadi ya kikwangua anga cha peramiho kilichoanza kukwangua toka mwaka 1943. i think the Oldest kati ya vikwangua anga vya tanzania.Zawadi hii pia iwafikie wale wote wanaotokea maeneo hayo Mkoani Ruvuma. Mdau na Mpenzi wa Masnep Stewart
No comments:
Post a Comment