
Pichani ni Washiriki wa shindano la Miss Dar City Center, ambo jana wamefanya kitu cha maana cha kuzuru gari lao ambalo wanashindania.Katika picha hii warembo hao wakiwa wamezunguka gari hilo. Shughuli ya kumsaka mrembo wa kitongoji hicho muhimu itafanyika Jumamosi Juni 14,2008 kwenye ukumbi wa Cine Club, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment