Thursday, June 12, 2008

semina kama hizi zifanyike mara kwa mara-AY


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ambwene Yesaya a.k.a AY akifanya mahojiano na mtangazaji wa televisheni ya TBC leo mchana kwenye semina iliohusu masuala mbalimbali ikiwemo suala la hakimiliki na faida zake kwa wasanii ambayo imefanyika ndani ya ukumbi wa utamaduni wa russian culture,Ay alivutiwa na semina hiyo lakini akashauri kuwa ni vyema ikawa inafanyika mara mbili kwa mwezi ama hata zaidi ikibidi ili kuwasaidia wasanii wa Tanzania kuwapa mwanga zaidi katika mambo mbalimbali yanayohusu tasnia ya muziki kiujumla, "pamoja na kujitokeza kwetu wasanii wachache kwenye semina hii , lakini ndio mwanzo ikifanyika mara nyingine tena muitikio kwa wasanii utaongezeka na utakuwa mkubwa"

No comments: