Wednesday, June 11, 2008

Gharika Limewakumba Waitalia: Tatu Mtungi!


3-0! Mabingwa wa Kombe la Dunia Italia wamekubali tatu mtungi mbele ya Waholanzi, kabla ya mapumziko 2-0. Namna gani Italia?!

No comments: