Wednesday, June 11, 2008

Ajali Ya Ndege Khartoum, Sudan


Takribani watu 30 wamekufa na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya ndege (AirBus 310) iliyotokea jana nchini Sudan.

No comments: