Thursday, April 17, 2008

Malkia wa Twanga Pepeta apata


Mrembo anayeshikilia taji la Kimwana wa Twanga Pepeta ‘Manywele’,
Halima Haroun akiilia muda mfupi baada ya ajali hiyo amenusurika kufa ajalini baada ya gari lake kugongana na lingine Ajali hiyo iliyoshuhudiwa na mwandishi wa habari hii ilitokea juzi usiku katika barabara ya zamani ya Bagamoyo, eneo la Avokado, jijini Dar es Salaam.
Halima alikuwa kwenye gari lake lenye namba za usajili T 138 ANU ambapo aligongana uso kwa uso na gari dogo aina ya Toyota Starlet lenye namba ZNZ 61235.Mrembo huyo aliyekuwa na gari lake la zawadi ya kuwa mshindi wa Kimwana wa Twanga Pepeta ‘Manywele 2007’, alikuwa akitokea nyumbani kwake Mwananyamala akielekea New Msasani Beach Club.

No comments: