Friday, April 25, 2008

Serengeti wazindua Mwanamke Shingo..


Kampuni ya Bia Ya Serengeti wamezindua Bia Mpya ya Serengeti Premium Lager iliyopewa jina la Mwanamke shingo ambayo imetiwa katika chupa mwanana yenye shingo ndefu kama muonavyo pichani ikiwa imeshikwa na Meneja uhusiano wa kampuni ya Serengeti limited, Thedy Mapunda kwenye uzinduzi wa huo jijini Dar es Salaam.Picha na Msimbe Lukwangule

No comments: