Wednesday, April 30, 2008

Tigo Lotto..


Meneja Masoko wa Tigo Tanzania, Kelvin Twissa (kushoto)akikabidhi fedha taslimu shilingi Milioni moja kwa mkazi wa Dar es Salaam Bw Salum Said aliyekuwa miongoni mwa washindi wa kila wiki wa promosheni ya Tigo Lotto Zawadi kwa washindi, zilikabidhiwa jijini Dar es Salaam Juzi.

No comments: