Monday, April 28, 2008

MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA !!




Mamboz Mkuu,
Maisha bora atayapata wapi na lini Huyu mwananchi anayeiishi kwenye hii nyumba na ikiwa baadhi ya viongozi wanaowategemea wamletee hayo maisha bora Mabilioni ya Shilingi wao Wanaita Vijisentiiii!, Tutafika kweliii???
Shukrani
Mdau
xxxxxx

No comments: