Tuesday, April 22, 2008

Ditopile azikwa leo (Safari ya nyumba ya milele)


Hii ndiyo safari ya mwisho ya Ditopile iliyoanza mchana wa leo kutoka nyumbani kwake Upanga kuelekea Nyumba yake ya milele Kinyerezi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambako anazikwa jioni hii kwa heshima zote.kwa pichaa zaidi juu ya tukio hili Bofya

Viongozi wa dini,ndugu jamaa na marafiki wakimzika Marehemu Ditopile leo katika makaburi ya Kinyerezi nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

jk akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu ditopile leo huko kinyerezi

jk akiaga baada ya mazishi ya marehemu ditopile huko kinyerezi jioni hii

sehemu ya umati uliohudhuria mazishi hayo

jk, waziri mkuu mizengo pinda na viongozi

waombolezaji kwenye mazishi ya ditopile leo huko kinyerezi.

No comments: