Tuesday, April 22, 2008

Breaking News !! Chuoni UDSM Kwa fuka kwa mabomu.

Mambo huko chuo kikuu cha Dar es Salaam nasikia vijana wa chuo wameandaa maandamano ambayo punde kabla sijaja kurusha habari hii ni kuwa FFu wameingia na kuyavunja ila hapa cha msingi nikuwa wasomi wetu wanapinga kitendo cha wenzao wapatao ishirini kutoka kwa mnyetishaji kutoka huko chuoni akidai kufukuzwa kwa hao wanafunzi hakukuzingatia kifungu cha 32 kifungu 5c.
nitawaletea habari zaidi kadri muda unavyo kwenda.

No comments: